🚛 POPOTE ULIPO TANZANIA UNAPATA HUDUMA HII!

🚛 Pata Kibari cha Abnormal Load Kwa Haraka, Kihalali, na Bila Usumbufu!
Tunakusaidia kupata kibali cha “Abnormal Load” ndani ya muda mfupi – iwe uko njiani au kabla hujasafirisha.
Hakuna faini. Hakuna foleni. Hakuna usumbufu.
📲 Pata Huduma Sasa – WhatsApp: 0652047996
Huduma Yetu Ni Nini?
✅ Tunatoa huduma kwa:
Madereva wa mizigo mikubwa (lowbeds, trailers, heavy trucks)
Makampuni ya ujenzi na usafirishaji
Wamiliki wa magari yanayobeba mizigo ya viwandani
Mizigo inayoingia au kutoka nje ya nchi (Zambia, Malawi, DRC, Kenya, Uganda etc.)
Wasafilishaji wa mifugo mbalimbali kama ng`ombe, mbuzi, nguruwe etc.
FastPermit Tanzania ni wakala binafsi ninayetambulika kisheria, niliyefanya kazi ya mizani kwa miaka mitano na kisha kuacha kazi hiyo, Nikifanya kazi katika Mzani wa uyole – Mbeya Na Mzani wa Matundasi-Chunya.
Natoa huduma ya kukata vibali vya mzani vya Abnormal Loads (Mizigo Mikubwa/Mizito, Wanyama Na KEMIKALI) kwa watu binafsi, madereva na kampuni za usafirishaji.
Pia natoa ushauri kuhusiana na mambo mbalimbali ya mizani kwa ujumla wake na msaada wa kitaalamu pale unapokutana na changamoto.
Tunajua muda wako ni muhimu, Ndiyo maana tunahakikisha unapokea kibali haraka, kihalali, na kwa njia rahisi kupitia njia ya mtandao (WhatsApp) kwa uaminifu mkubwa.

💼 Kwa Nini Madereva Wanatuamini?
⚡ Huduma za Haraka
Tunakupa kibali ndani ya muda mfupi, bila kusubiri masaa mengi au siku nzima.
📋 Uhalali na Uwazi
Tunafuata taratibu rasmi za TANROADS – unapata kibali sahihi, na si cha kubahatisha.
🤝 Huduma Binafsi 24/7
Tunapatikana muda wote kupitia WhatsApp au simu. Uko barabarani? Tunakusaidia papo hapo.
🧭 Jinsi ya Kupata Kibali Chako kwa Haraka
1️⃣ Tuma Taarifa WhatsApp
Route yako (mfano: Tunduma – Dar)
Aina ya mzigo
Namba ya gari
Picha za kadi ya gari na picha ya mzigo ukiwa kwenye gari
2️⃣ Tunatengeneza Kibali
Tunafanya maombi rasmi kwa niaba yako
Tunakutumia control namba ya malipo
Unalipia kwa njia rahisi (M-Pesa / TigoPesa au Bank)
3️⃣ Pokea Kibali Chako
Unanilipa gharama za kutengeneza kibali baada ya kuwa kimetoka kupitia namba 0652047996
Tunakutumia soft copy WhatsApp
Unaweza kuprint popote ulipo tayari kwa matumizi
🔰 Tuma Maombi Sasa – WhatsApp: 0652047996
💰 Huduma Rahisi na Nafuu Kwa Kila Dereva
GHARAMA ZA VIBARI
KIBALI CHA ABNORMAL LOAD - Tsh 25000/= KIBALI NDANI YA MASAA 24
KIBALI ZAIDI YA KIMOJA (KUNDI) - Tsh 20000/= KWA WENYE MAGARI MENGI EXPRESS SERVICE - Tsh 35000/= KIBALI NDANI YA MASAA 6
🎁 Punguzo maalum kwa wateja wa mara kwa mara!
📲 Pata Kibali Leo – WhatsApp: 0652047996

💬 Wateja Wetu Wanasemaje?
⭐⭐⭐⭐⭐
“Nilikuwa njiani kutoka Malawi, ndani ya saa moja nimeshapata kibali changu. Huduma safi sana!”
– Juma Trucking Ltd
⭐⭐⭐⭐
“Nimefurahia uwazi wenu na uharaka wa huduma. Hakuna kupoteza muda!”
– Moses, Msafirishaji – Kigamboni, Dar es salaam
⭐⭐⭐⭐⭐
“Nilikamatwa mara kadhaa kwa kukosa kibari sahihi, lakini tangu nianze kutumia FastPermit Tanzania, kila safari yangu ni smooth. Wanajua wanachofanya!”
– Richard Mwakyusa, Dereva wa Lowbed – Tunduma
⭐⭐⭐⭐⭐
“Huduma zao ni za kipekee. Nilikuwa mbali Morogoro lakini waliweza kunitumia kibali ndani ya masaa mawili tu. Urahisi huu nimeupenda.”
– Beatrice Transport Ltd – Morogoro
⭐⭐⭐⭐
“FastPermit imenisaidia sana kwenye mizigo ya site ya ujenzi. Vibali vinapatikana kwa muda na hakuna makosa. Napendekeza kwa madereva wote.”
– Joseph L., Mhandisi wa Ujenzi – Katavi
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)
SWALI 1: Je, ninahitaji kuwa Wapi ili kupata kibali?
JIBU: Tunahudumia wateja kote Tanzania kupitia WhatsApp.
SWALI 2: Je, usalama wa pesa yangu upo kweli?
JIBU: Ndiyo usalama ni 100% na malipo ya kibali unatumiwa control namba unalipia mwenyewe ndipo unatuma pesa yetu ya huduma.
SWALI 3: Je, vibali hivi ni halali kutoka TANROADS?
JIBU: Ndiyo, tunafuata utaratibu wa kisheria na kushirikiana na mamlaka husika.
🚛 Usikubali Faini Kwa Kukosa Kibali!
Pata kibali chako cha Abnormal Load kwa urahisi, popote ulipo.
Huduma za haraka, halali, na za kuaminika.
OMBA SASA KIBALI CHAKO
Contacts :
📍 Online – Tanzania Nzima.
📲 Call/WhatsApp: 0652047996
✉️ Email: fastpermittanzania@gmail.com
🕒 Huduma 24/7
🔍 Unajua Nini Kuhusu Abnormal Load Permit?
Kibali cha “Abnormal Load” ni ruhusa maalum inayotolewa na TANROADS Tanzania nzima kupitia wizara ya ujenzi kwa magari yanayosafirisha mizigo mikubwa, isiyo himilivu au mizito kuliko kiwango cha kawaida. Bila kibali hiki, dereva anaweza kutozwa faini au kushikiliwa kwenye mizani.
FastPermit inahakikisha unapata kibali sahihi kabla ya kufika mizani yoyote nchini.
